DUKAPRO ni mfumo wa Offline na Online wa mahesabu unaotumika badala ya madaftari kuokoa muda na kudhibiti wizi katika biashara Wafanyabiashara huibiwa kwa kukosa muda wa kufanya mahesabu marefu hivyo hulazimika kuamini takwimu zozote wanazopewa. Kwa kutumia DUKAPRO mfanyabiashara atafahamu ukweli wa mapato & stock hivyo kuchukua hatua yenye tija kwa bia...