DUKAPRO ni mfumo wa Offline na Online wa mahesabu unaotumika badala ya madaftari kuokoa muda na kudhibiti wizi katika biashara
Wafanyabiashara huibiwa kwa kukosa muda wa kufanya mahesabu marefu hivyo hulazimika kuamini takwimu zozote wanazopewa.
Kwa kutumia DUKAPRO mfanyabiashara atafahamu ukweli wa mapato & stock hivyo kuchukua hatua yenye tija kwa biashara yake.
Jinsi DukaPro inavyofanya kazi
1. Software inakuwa installed kwenye computer
2. Bidhaa zote zinaingizwa kwenye software
3. Ukiuza/kufanya matumizi unapost kwenye software
4. Inapunguza stock iliyopungua automatically
5. Inaandaa report za mauzo, matumizi, faida, stock & fedha
6. Bidhaa zisizotoka, zinazotoka zaidi, zinazokaribia kuexpire / kuisha in stock
7. Madeni unayodai/kudaiwa nk.
8. Inatoa receipt, unaweza kutumia barcode scanner . Inatumika kwenye biashara zote za jumla & rejreja, mf supermarkets , liqour stores , bars, restaurants, cosmetics, boutiques, pharmacy stores,hardware stores n.k
GHARAMA
2 Users 280,000/Mwaka
6 Users 430,000/Mwaka
16 Users 590,000/Mwaka
CALL 0743 666 333 | 0622 666 333
Read more