Picha ya mchoro
TZS 120,000
Picha ya mchoro
Karibuni ujipatie picha za michoro zanye mionekano inayoendana na majengo ya kisasa.Bei zetu ni nafuu mno na tunapokea order kutoka sehemu yoyote nchini.Aina hii ya sanaa ya michoro ina uangavu na kuvutia ukutani kwani imenakshiwa kwa rangi nyeupe.Tunachora picha za aina tofauti kutokana na matakwa ya mteja.Tupo Dar es Salaam,Tanzania.
TZS 120,000