Out door chair
TZS 400,000
Out door chair
Arusha
This kiti imetengezwa kwa viwango vya hali ya juu, durability ni amazing na mbao iliyotumika ni Mninga. Kinaweza kutengeneza kwa mbao aina ingine. Tunafanya kazi nyingi za home, office, hotels, lodges na nk. Karibuni sana.
TZS 400,000