Cctv camera hii ni ya siri. Tuna maanisha ukiitazama ikiwa imefungwa ktk eneo husika hautoweza kuitambua kuwa ni cctv camera. Hii inasaidia wahalifu kutojua ni sehemu gani zilipofungwa camera kwa sababu wahalifu wengi wana tabia ya kukwepa camera.
Kitasa hiki kina funguka kwa kutumia password,card na alama ya kidole(finger-print). Pia kitasa hiki kinakuja na funguo mbili za kawaida kwa ajili ya matumizi ya ziada. Tunafunga ktk nyumba,ofisi,apartment,hoteli,lodge na maeneo mengine. Unaweza kutupata ktk mitandao yote ya kijamii kwa kuandika neno Gordon Technology na utaona logo yetu yenye jina la Gordon...