Kitasa hiki kina funguka kwa kutumia password,card na alama ya kidole(finger-print).
Pia kitasa hiki kinakuja na funguo mbili za kawaida kwa ajili ya matumizi ya ziada.
Tunafunga ktk nyumba,ofisi,apartment,hoteli,lodge na maeneo mengine.
Unaweza kutupata ktk mitandao yote ya kijamii kwa kuandika neno Gordon Technology na utaona logo yetu yenye jina la Gordon.
Tunafanya delivery pia tunasafirisha mikoa yote ya Tanzania.
Pia tunasafiri mikoa yote kwenda kufunga vitasa hivi vya kisasa.
Read more