Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
Enjoy smart android programs in your normal TV by using 2023 Xiaomi TV Box S (2nd Gen) 4K Ultra HD Streaming Media Player, Google TV Box with 2GB RAM 8GB ROM, 2.4G/5G Dual WiFi, Bluetooth 5.2 & Dolby Audio and DTS-HD, Dolby Vision, HDR10+
Infinix hote 12i Gb 64 ram 4 bei 150k tu simu ni used ila iko verry clean imenyokaa sana kipengele uje nacho wewe tu tajeer ipo dukani ubungo mawasiliano piga simu 0623021368
Inauzwa Toyota Hilux Double Cabin, mwaka 2018, rangi nyeupe, namba za biashara. Gari iko katika hali nzuri sana, imetunzwa vizuri na tayari kwa matumizi. Ina injini ya dizeli yenye nguvu, mfumo wa 4×4, double cabin yenye viti 5, air condition, power windows, central locking na fog lights. Inafaa kwa matumizi ya binafsi na biashara kwa sababu ya uimara na uwe...