Nyumba inauzwa ipo chanika
Ina vyumba vinne vyote ni master
Ina sebule,jiko na dining pamoja na Stoo
Kuna nyumba ya uani ya kupangisha ya vyumba vitatu, kimoja kina sebule,Stoo mbili za uani
Kuna eneo la kutosha la nusu eka
Nyumba Ina tiles
Namba zipo hapo....wahi na bei Yako.....
Mazungumzo yapo