SUPER GRO Fertilizer/Mbolea (5L)

Everything Else 58 views New Sell ID: 6724
TZS 168,000

Published on 2024/05/15

Description

SUPER GRO ni 100% mbolea ya organic na isiyokuwa na kemikali. FAIDA: -Inazuia mimea kuungua na jua(ukame) -inazuia ukungu -inaongeza kiwango cha Nitrogen (75%) -inaongeza wingi wa mazao na uzito -inasaidia viwatifu kufanya kazi(100%) -kuongeza kiwango cha upenyaji maji kwenye udongo MATUMIZI: Changanya super gro na maji katika ratio ya 1:1000, nilimaanisha 1ml ya super gro kwenye 1L ya maji au 100ml ya super gro kwenye 100L ya maji kulingana na ukubwa wa shamba au garden. Lita 5 ya super gro unaweza tumia wa heka 5 kwanzia kipindi cha kupanda mpaka kipindi cha kuvuna.

Location

Sayansi Bus Stop
Kinondoni
Dar es Salaam
Tanzania
Get directions →
075878xxxx Send message
Adila
Adila
1 active listings
Last online 1 month ago
Registered for 1+ month
Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
075878xxxx
Seller's profile All seller items (1)

Be careful!

Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement.
No serious private advertisers ask for a down payment before you meet.
Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
Report listing
075878xxxx Send message
Are you a professional seller? Create an account