SOAP & GLORY BODY BUTTER AVAILABLE
The best thing kuhusu hizi body butters Zina absorb haraka kwenye ngozi, there is nothing like a greasy feeling ukitumia hizi, harufu yake sasa nzuri saana
Ziko formulated kwaajili ya ngozi kavu sana, kama una ile super super dry skin hizi body butters ziko heavy zinashika kwene ngozi vizuril mno na kwa mda mrefu!
Very nourishing
Good scent
Good texture.
PRICE: 65,000/=