Minja real estate $ Car Broker inakuletea:-
Nyumba inauzwa malamba mawili.
Ukubwa wa kiwanja Sqm 400.
Vyumba vitatu kimoja master.
Sebule, jiko na choo cha wageni.
mita 700 kutoka Barabara ya Kinyerezi.
Bei Mil 80 tu.
Nipigie au whats app 0687575770 kwenda kuona nyumba.