Nyumba ipo Dege Beach karibu na Dege Beach round about ukitokea Boko Magengeni. km 1 toka barabara ya Lami inayoenda Dege Beach ni mpya bado haijamaliziwa vitu vichache kama tiles ina vyumba vitatu sebule master bed room na puplic toilet bei ni maelewano
kwa mawasiliano piga 0656380543