Nyumba MBILI ZINAUZWA Boko , Magengeni ,MBWENI Dar es Salaam
Eneo lina ukubwa wa square meter 1300+
Eneo lina nyumba zilizojengwa tayari
Nakaribisha wateja wa aina yote kama mtu anataka kuweka Sheli ya mafuta eneo linafaa
It can be bulldozed
Very simple price compared to the nature of the area,????