KIWANJA KINAUZWA ILEMELA -ukubwa wa kiwanja ni SQM 1,000 -kina hati miliki ya wizara ( 99 yrs ) -matumizi ya kiwanja ni makazi -kiwanja kina fensi pande tatu -bei Milioni 180 ( maongezi yapo ) ☎️ 0743220097
-shamba ni la kwanza kutoka ziwani -panafaa kwa makazi, kilimo, ufugaji n.k -shamba lipo km 2 kutoka daraja la JPM lilipo -umeme, maji na barabara vyote vipo Bei Milioni 25
ENEO LINAUZWA KIGONGO FERRY -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -eneo limeshapimwa tayari -ukubwa wa eneo ni heka moja (1) -bei Milioni 20 ( maongezi yapo pia ) NB:- eneo lipo Km 2 kutoka daraja la JPM ☎️ 0743220097
*🟢 SHAMBA LINAUZWA – KIWANGWA, BAGAMOYO 🟢* Fursa ya kumiliki ardhi yako! ✅ Ukubwa: Heka 10 ✅ Umbali: Km 4 kutoka barabara ya lami ✅ Mahali: Kiwangwa – Bagamoyo ✅ Mazingira tulivu, yanafaa kwa kilimo, ufugaji au makazi ✅ Umeme na maji karibu 💰 Bei: TSh 900,000 kwa heka (maelewano yapo) 📞 *Wasiliana na Mr. Chilo – 0714 121 506* *Miliki shamba lako leo – usipit...
BEACH PLOT INAUZWA NYANGUGE -eneo ni la kwanza kutoka ziwani -ukubwa wa eneo ni heka mbili (2) -eneo linafaa kwa makazi, biashara -bei Milioni 78 ( mazungumzo yapo) NB:- -Kuna beach plot ya heka 25 imeanzia ziwani inauzwa yenyewe ipo nyanguge karibu na bugando beach -Njoo na surveyor ( mpimaji ) kuhakiki eneo ☎️ 0743220097