Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
Nauza shamba Msinune Kiwangwa lenye ukubwa wa heka 90 lipo umbali wa kilometa 2 kutoka barabara kuu bei kwakila heka moja ni laki 800,000/= kwa mawasiliano zaidi Call ???? &Whatsapp..0659628665/=
Sifa za Kalamu ya Qur'an: Kusoma kwa Sauti: Kalamu hii ina uwezo wa kusoma Qur'an kwa sauti, ikiwa ni pamoja na usomaji wa taratibu wa aya kwa aya au sura nzima. Maelezo na Tafsiri: Inatoa tafsiri ya Qur'an kwa lugha mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Kiswahili, ambayo husaidia kuelewa maana ya aya. Mikanda ya Masheikh Maarufu: Inajumuisha usomaji wa masheikh ma...
King'amuzi cha Canal Plus kinakuwezesha kuangalia News, Movies na Sports kwa Bei nafuu sana kulinganisha na ving'amuzi vingine. Kwa wapenzi wa Soccer (Football) ukiwa na King'amuzi hiki utaweza kuangalia michuano ya Ligi ya Uingereza (EPL), UEFA, SERIE A, BUNDESLIGA, LIGUE 1 na CAF CL kwa kifurushi cha 48k tu! Jipatie sasa Decorder ya CANAL PLUS kwa 100k tu ...