Home & Furniture For Sale in Kigamboni find different Home & Furniture available for you in Kigamboni, check here to find wide selection of quality Home & Furniture in Kigamboni.
Hizi ni air freshener za nyumbani,ofisini ni nzuri sana zinanukia vizuri na harufu ya muda.. Zipo kwa flavour nyingi pia.. Karibu tuifanye nyumba au ofisi yako inukie
TZS 25,000
7 months agoHome & FurnitureNewSell172 people viewed
Nyumba ina: Umeme, maji muda wote kuna tank na kisima, nyumba ina vyumba viwili vya kulala kimoja ni master, public toilet, sitting room, jiko kubwa na stoo. Kuna air conditioner, washing machine, refrigerator, water dispenser, wardrobe, vitanda viwili na magodoro matatu, tv na sofas
TZS 55,000,000
9 months agoHome & FurnitureUsedSell177 people viewed
Pata mashine kubwa ya kufua nguo na viatu ya kilo 7 [Ukubwa almost wa jaba], mashine hii inafua, kusuuza na kukamua. Pia tunauza kwa bei ya rejareja na jumla kwa wale wafanya biashara. Mazungumzo kidogo yapo karibuni sana.