Real Estate For Sale in Pwani find different Real Estate available for you in Pwani, check here to find wide selection of quality Real Estate for sale in Pwani Tanzania.
eneo linauzwa Kerege Bagamoyo, lina ukuwa wa mita za mraba 5000, linafikika kwa gari, lina maji na umeme. eneo lina banda la kuishi la vyumba viwili na mabanda mawili ya mifugo. Mawasiliano 0747144763
Minja real estate & Car Broker introduce:- Industrial plot for sale Mwarusembe Mkuranga. Plot size acres 24.5. Along the Kilwa road in Mkuranga. Clean title deed which allow heavy industrial to be constructed. Distance from Mkuranga to Dar 55.4 km almost 1hr and 25 mins for car driving. Call/whats app 0687575770 for more info and viewing.
• Mahali: Kibaha • Hali ya Jengo: Inahitaji finishing • Ukubwa wa kiwanja: Sqm 150+ • Nyaraka: Hati • Bei: TZS Million 600 . ✅ ni jengo la ghorofa 4 ✅ kuna event hall 3 (moja floor ya 1 na nyingine floor ya 4) ✅ ina vyumba 22 kuanzia ghorofa ya chini (Ground Floor) mpaka ya 3 ✅ kila floor ina kadri ya vyumba 8 ✅ kuna halls, jiko, washroom, warehouse, parking...
TZS 600,000,000
8 months agoHouses & Apartments for SaleUsedSell249 people viewed
*Shamba la Ekari 10 linauzwa Chalinze mjini*(CHANG'OMBE STREET) *Distance* Shamba liko Kilometer 1 tu kutoka Barabara ya lami ya Morogoro road -Ndani ya shamba kuna miembe na michungwa na nyumba ya wafanyakazi -Shamba linafaa kwa kilimo cha mahindi mihogo na kadhalika -Document; Hati ya mauziano ya selikali za mitaa ( Shamba limepimwa Hati miliki itatoka kwa...
????KIBAHA - KWA MFIPA???? —SURVEYED PLOTS—- ????UMBALI WA MITA 500 TU KUTOKA BARA BARA YA LAMI ????VIWANJA VIPI MBELE KIDOGO YA CHUO CHA UONGOZI KIBAHA ????GOOD Exceptional Neighborhood ????HUDUMA ZOTE ZA JAMII KAMA UMEME NA MAJI ZIMEFIKA MPAKA VILIPO VIWANJA NA TAYARI WATU WAMESHAANZA KUJENGA???? BEI NI KWA SQM 1 sqm = 15,000/= KWA MAELEZO ZAIDI FIKA KATIK...
• Direction: Kwa Mfipa, Sagale Magengeni km 8 kutoka Morogoro Road • Land Area: - Land No. 54 Sqm 9,455 - Land No. 53 Sqm 6,853 - Land (skwata) Sqm 2,000+ TOTAL AREA: Sqm 18,308 (ekari 4.5) • Document: Ofa (hati iko kwenye mchakato, itatoka muda wowote) • Price: TZS 7,000/sqm AU milioni 128 kwa maeneo yote matatu NB: Unaweza kununua eneo 1 au maeneo yote . ✓...
SHAMBA LA EKARI 3 LINAUZWA MWAVI FUKAYOSI Lipo umbali wa kilometa 1 kutoka main load ya bagamoyo msata kila ekari 1 inauzwa shilingi milioni 2 na nusu shamba ni zuri sana unaweza ukapanda mazao yoyote yale kama vile nanasi, miembe ,migomba,korosho,nazi,papai,mahindi,nk
TZS 7,500,000
10 months agoShops for Rent & SaleNewSell176 people viewed
SHAMBA LA KULIMA NANASI NK LA EKARI 3 LINAUZWA MWAVI FUKAYOSI lipo umbali wa kilometa 2.na nusu kutoka main load ya bagamoyo msata kila ekali moja inauzwa shilingi milioni 4 shamba ni zuri sana lipo njiani kabisa
Shamba la ekari 4 linauzwa mwavi fukayosi lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata zote kwa pamoja zinauzwa shiligi 20 Milioni shamba lipo barabarani kabisa unaweza kupanda mazao kama Nanasi ,Migomba, Papai ,Minazi ,Korosho ,Ndimu ,Maembe, Machungwa nk
Shamba la Ekari 15 linauzwa lipo fukayosi bagamoyo kila ekali moja inauzwa shilingi milioni 1.5 lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata
TZS 22,500,000
10 months agoShops for Rent & SaleNewRent216 people viewed
• Direction: 3 km Kilwa Road • Plot area: 9 Acres (36,000+ sqm) • Document: Title deed • Price: TZS 550 million . ✓ ideal for commercial ✓ developed with rest huts and resort ✓ good infrastructure