Real Estate For Sale in Pwani find different Real Estate available for you in Pwani, check here to find wide selection of quality Real Estate for sale in Pwani Tanzania.
Land is available in the Zegereni Industrial Area in Kibaha, accessible within 3 meters from the paved road. The area is surveyed and serviced with community amenities such as water and electricity.
????KIBAHA - KWA MFIPA???? —SURVEYED PLOTS—- ????UMBALI WA MITA 500 TU KUTOKA BARA BARA YA LAMI ????VIWANJA VIPI MBELE KIDOGO YA CHUO CHA UONGOZI KIBAHA ????GOOD Exceptional Neighborhood ????HUDUMA ZOTE ZA JAMII KAMA UMEME NA MAJI ZIMEFIKA MPAKA VILIPO VIWANJA NA TAYARI WATU WAMESHAANZA KUJENGA???? BEI NI KWA SQM 1 sqm = 15,000/= KWA MAELEZO ZAIDI FIKA KATIK...
SHAMBA LA EKARI 3 LINAUZWA MWAVI FUKAYOSI Lipo umbali wa kilometa 1 kutoka main load ya bagamoyo msata kila ekari 1 inauzwa shilingi milioni 2 na nusu shamba ni zuri sana unaweza ukapanda mazao yoyote yale kama vile nanasi, miembe ,migomba,korosho,nazi,papai,mahindi,nk
TZS 7,500,000
10 months agoShops for Rent & SaleNewSell173 people viewed
SHAMBA LA KULIMA NANASI NK LA EKARI 3 LINAUZWA MWAVI FUKAYOSI lipo umbali wa kilometa 2.na nusu kutoka main load ya bagamoyo msata kila ekali moja inauzwa shilingi milioni 4 shamba ni zuri sana lipo njiani kabisa
Shamba la ekari 4 linauzwa mwavi fukayosi lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata zote kwa pamoja zinauzwa shiligi 20 Milioni shamba lipo barabarani kabisa unaweza kupanda mazao kama Nanasi ,Migomba, Papai ,Minazi ,Korosho ,Ndimu ,Maembe, Machungwa nk
Shamba la Ekari 15 linauzwa lipo fukayosi bagamoyo kila ekali moja inauzwa shilingi milioni 1.5 lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata
TZS 22,500,000
10 months agoShops for Rent & SaleNewRent212 people viewed
Viwanja vipo km 8 kutoka barabara ya morogoro. Bei inaanzisa sh 5000 kwa sqm moja Unaweza lipa kwa awamu, karibuni sana. Ukubwa unaanzia sqm 400 nakuendelea
lipo kijiji cha msinune lipo jirani na mji maji yanapatikana kwa karibu shamba limepandwa nusu nanasi na mihogo kila ekari 1 inauzwa shilingi milioni 2