Services For Sale in Dar es Salaam find different Services available for you in Dar es Salaam, check here to find wide selection of quality Services for sale in Dar es Salaam Tanzania.
Tunatengeneza (repair) vifaa vyote vya umeme kama washing machines, tv, subwoofer, driers, fridges, radios, home theaters, radios, sound bars, air conditioners, micro waves, dishwashers etc. check up fee 40,000/- gharama za matengenezo zitategemeana na tatizo na gharama za spare endapo zitahitajika. huduma zetu ni bora sana. ukituletea kifaa chako ni lazima ...
KWA KAZI NZURI NA SAFI ZA ELECTRIC FENCE????⚡ Ushauri Na Huduma Bora za Ufungaji wa Electric Fence, Uuzaji wa Vifaa Fika Dukani Kwetu Au Tupigie Leo kwa Maelezo zaidi.
Jipatie router ya airtel 5G yenye unlimited Internet mwez mzima ikiwa na package +powerbank yenye kukaa na chaj zaid ya masaa7 +inakamata umbali wa mita100 +unaweza connect watu mpaka 64 +ni movable unaweza tembea nayo +Tsh110,000tu Unlimited siku30 30mbps WhatsApp 0698377559
Tutumie picha yako au yampendwa wako tukutengenezee picha mbao kwa bei nafuu na ubora wa hali ya juu Size zote zipo A1,A2,A3,A4,A5 WHATSAPP NUMBER 0678156114
Check with seller
8 months agoOther ServicesNewSell628 people viewed
I am reaching out to introduce myself as a part-time accountant offering affordable accounting services. With a background in accounting and a passion for helping businesses thrive, I provide comprehensive accounting services tailored to meet your specific needs. Whether you require assistance with bookkeeping, tax preparation, financial analysis, or budgeti...
Special offer from 25/01/2024 - 29/02/2024 Electric fence installation only Tsh 19,000 per square meter including materials and 8hrs backup! We're in daressalaam, Mwenge Jamirex Street, if you're in upcountry also we'll be there just call us! "Our service's more than your payments"
Kwa mahitaji ya bati za rangi/msauzi ya rangi wasiliana nasi leo ujipatie bidhaa ilio katika ubora wa hali ya juu Bati zilizopo 1. Migongo mipana 2. Migongo midogo 3. Migongo mipana chengachenga 4. Muundo wa kigae Wahi sasa ujipatie ofa ya usafiri bure hadi site karibuni sana Kwa ushauri na kufahamu zaidi usisite kututafuta
Ikiwa Unahitaji Huduma Bora ya Ulinzi AU Kufungiwa Mifumo ya Ulinzi (Security Systems) basi 24SECURITY (T) LIMITED Ndio Kampuni inayoweza kukupa Huduma Bora Mahala Popote na Wakati Wowote. Kwa kutumia Walinzi Wenye Mafunzo, Weredi Na Mafundi Wenye Uzoefu Mkubwa Tunakupa Huduma Bora Kwa Saa24. Tunapatikana Mikoa Yote Tanzania.
Wahi Sasa ujipatie mabati yalio Bora kabisa na kudumu pasipo kushuka kutu Nunua leo ujipatie ofa ya Usafiri mpaka saiti kwako Bure Wasiliana nasi kufahamu zaidi karibu saana