Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
SHAMBA LA EKARI 3 LINAUZWA MWAVI FUKAYOSI Lipo umbali wa kilometa 1 kutoka main load ya bagamoyo msata kila ekari 1 inauzwa shilingi milioni 2 na nusu shamba ni zuri sana unaweza ukapanda mazao yoyote yale kama vile nanasi, miembe ,migomba,korosho,nazi,papai,mahindi,nk
TZS 7,500,000
10 months agoShops for Rent & SaleNewSell175 people viewed
Shamba la Ekari 15 linauzwa lipo fukayosi bagamoyo kila ekali moja inauzwa shilingi milioni 1.5 lipo umbali wa kilometa 2 kutoka main load ya bagamoyo msata
TZS 22,500,000
10 months agoShops for Rent & SaleNewRent213 people viewed