Long lasting ???? Inanukia vizuri mnooo ✅ Mls 100 Free delivery around DSM na mikoani pia tunatuma kwa gharama za mteja.???? Kwa mahitaji mengine ya perfume karibu @perfume_89store tukuhudumie.
Router ya 5G unlimited ipo kwney ofa wahi! Router unapewa bure unafanyiwa connection bure we unanunua bundle, Router inaenda umbali wa mita 100 inaweza kuconnect hadi Device 64 ina powerbank inayoweza kudumu mpaka masaa 8 umeme ukikata.kwa maelezo zaidi poga namba..0682857455
Chakula bora kwa ajili ya mbwa mwenye matatizo ya kuwashwa ngozi kwa kitaalamu tunaita Food Allergic Dermatitis, pia mbwa mwenye changamoto ya viungo yaani Arthritis anapaswa atumie chakula hiki. Siwezi kutaja kila kitu hapa lakini chakula hiki ni tiba ya magonjwa mengi kwa mbwa.
Mashine ya kuchanganya chakula cha kuku ipo katika hali nzuri sana, Bei ni Tsh 6,000,000/- tu. Ina uwezo wa kuzalisha chakula cha kuku nusu tani kwa saa. Na utapata kila kitu na motor pia. Karibu sana mteja.
Battery Cages za kuwekea kuku, na zimebaki unit tatu (3) tu. Unit moja ina vyumba 48, na kila chumba kinaweza kikaweka kuku watatu mpaka wa nne. Battery cages hizo zina system ya maji na chakula. Battery Cages hizo ni za Israel. Bei ni 850,000/- kwa unit moja yenye vyumba 48, ambavyo kila chumba kinachukua kuku watatu mpaka kuku wanne.