Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
Mashine ya kuchanganya chakula cha kuku ipo katika hali nzuri sana, Bei ni Tsh 6,000,000/- tu. Ina uwezo wa kuzalisha chakula cha kuku nusu tani kwa saa. Na utapata kila kitu na motor pia. Karibu sana mteja.
Battery Cages za kuwekea kuku, na zimebaki unit tatu (3) tu. Unit moja ina vyumba 48, na kila chumba kinaweza kikaweka kuku watatu mpaka wa nne. Battery cages hizo zina system ya maji na chakula. Battery Cages hizo ni za Israel. Bei ni 850,000/- kwa unit moja yenye vyumba 48, ambavyo kila chumba kinachukua kuku watatu mpaka kuku wanne.