BONGO CHICKS COMPANY LTD. {Quality matters first} ;WATENGEZAJI NA WASAMBAZAJI WA MASHINE ZA KUTOTOLESHEA VIFARANGA !!! MASHINE ZETU NI FULLY AUTOMATIC MA ZINA GUARANTEE YA MWAKA MIWILI !!! BEI ELEKEZI KWA MASHINE ZETU: MAYAI 60 (60 Eggs)=@450,000/=Tshs. MAYAI 90 (90 Eggs)=@570,000/=Tshs. MAYAI 120 (120 Eggs)=@620,000/=Tshs. MAYAI 180 (180 Eggs)=@750,000/=Tsh...
BT Range: 10m Battery Capacity: 350mAh Standby Time: Up to 40 hours Play Time: Up to 10 hours (60% volume) Talk Time: Up to 12 hours HD Audio Flat-Fold Design Soft-Cusion Earcups Handsfree Calls Adjustable Headband Strong Bass - Aux input - SDCard port - Bluetooth
Chakula bora kwa ajili ya mbwa mwenye matatizo ya kuwashwa ngozi kwa kitaalamu tunaita Food Allergic Dermatitis, pia mbwa mwenye changamoto ya viungo yaani Arthritis anapaswa atumie chakula hiki. Siwezi kutaja kila kitu hapa lakini chakula hiki ni tiba ya magonjwa mengi kwa mbwa.
✓ Brand: ROMESON ✓ Model: RBP58B ✓ Use: Receipt Printer Max paper size: 58mm ✓ Printing Speed: 90mm/s ✓ Warranty: One Year ✓ Command set: ESC/POS Compatible command ✓ Interface Type: Bluetooth + USB ✓ Max. Resolution:203DPI Printing method: direct thermal printing ✓ Printing width:48mm(384dots) ✓ Paper width:57.5±0.5mm ✓ Support big paper roll, max outer dia...
Mashine ya kuchanganya chakula cha kuku ipo katika hali nzuri sana, Bei ni Tsh 6,000,000/- tu. Ina uwezo wa kuzalisha chakula cha kuku nusu tani kwa saa. Na utapata kila kitu na motor pia. Karibu sana mteja.
Battery Cages za kuwekea kuku, na zimebaki unit tatu (3) tu. Unit moja ina vyumba 48, na kila chumba kinaweza kikaweka kuku watatu mpaka wa nne. Battery cages hizo zina system ya maji na chakula. Battery Cages hizo ni za Israel. Bei ni 850,000/- kwa unit moja yenye vyumba 48, ambavyo kila chumba kinachukua kuku watatu mpaka kuku wanne.