Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
SOAP & GLORY BODY BUTTER AVAILABLE The best thing kuhusu hizi body butters Zina absorb haraka kwenye ngozi, there is nothing like a greasy feeling ukitumia hizi, harufu yake sasa nzuri saana Ziko formulated kwaajili ya ngozi kavu sana, kama una ile super super dry skin hizi body butters ziko heavy zinashika kwene ngozi vizuril mno na kwa mda mrefu! Very ...
SOAP & GLORY FLAKE AWAY BODY SCRUB AVAILABLE Kama umewahi kutumia body wash zake or lotion unajua what to expect hapa! One of the best body scrubs in the market, zinanukia kuliko maelezo! Hii scrub ni nzuri Amazing scent Good Texture Zina exfoliate, zinaondoa dead skin cells Ukimaliza kujiscrub unapata a very soft feeling na ngozi haibaki kavu. PRICE: 55...