Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
Viwanja kigamboni, viwanja vya mradi vimepimwa. Ukubwa ni kuanzia sam 400, vipo vya ukubwa wa kila namna Bei zipo za sh 10,000, 12,000 na 15,000 kwa SQM. Viwanja vipo jirani na viwanda vikubwa vya afyya na vingine.
Viwanja vipo km 8 kutoka barabara ya morogoro. Bei inaanzisa sh 5000 kwa sqm moja Unaweza lipa kwa awamu, karibuni sana. Ukubwa unaanzia sqm 400 nakuendelea
Viwanja vinauzwa Kigamboni dege na mwongozo. Viwanja vipo umbali wa mita 200 kutoka lami. Bei kwa sqm moja ni 25,000 kama unalipa kwa awamu na ukilipa zote kwa pamoja unapata offer kwa tsh 22,000. Karibu sana, viwanja vyote vimepimwa