Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
Gari bado inatembea, engine haijaguswa.. Inafanyiwa maintainace service mara kwa mara. Hivyo haigongi gongi. Karibu. Shida ya AC, compressor ndo imekufa ni ya kubadilisha.
Nyumba mbili zinapangishwa, zipo kwenye compond moja ndani ya ukuta. Zinajitengea kwa kila kitu. Maji ya dawasa na umeme zipo. Sebule kubwa, jiko, dinning, public toilet, vyumba viwili kimoja master. Slidding window, chini tukes, juu gypsum. Ni mpya kabisa. Zipo goba kulangwa karibu na hospitali kwa masister. Karibuni.
TZS 350,000
6 months agoHouses & Apartments for Rent170 people viewed
Nyumba ina vyumba vitatu kimoja master, ina sebule kubwa, jiko, dinning slidding window, chini tIles, juu gypsum. Ipo ndani ya fence inajitegemea kwa kila kitu. Nyumba ipo salasala karibu na shule ya msingi umbali wa uwanja wa mpira toka barabara ya lami ya salasala. Barabara kwa sasa ina chamgamoto kwa gari ndogo.