Latest Listings of products like electronics, cars, house, land and other products for sale in Tanzania, check here to find wide selection of quality products at competitive price in Tanzania.
Mashamba mazuri yanauzwa :morogoro kingolwira :mashamba ni mazuri kwa mazao yote ususan kwa kilimo Cha alizeti,ufuta ardhii nzur yake ni nzuri bado bikra haija limwa sana
Shamba linauzwa lipo bagamoyo kiwangwa zipo ekari 300 Bei ni laki sita kwa ekari moja maongezi yapo Shamba ni zuri ..mazao Kama nanaso,mahindi ,mihongo n.k yanastawi vizuri kabisa shamba lipo kilometer tano kutoka barabara ya rami
*Shamba la Ekari 10 linauzwa Chalinze mjini*(CHANG'OMBE STREET) *Distance* Shamba liko Kilometer 1 tu kutoka Barabara ya lami ya Morogoro road -Ndani ya shamba kuna miembe na michungwa na nyumba ya wafanyakazi -Shamba linafaa kwa kilimo cha mahindi mihogo na kadhalika -Document; Hati ya mauziano ya selikali za mitaa ( Shamba limepimwa Hati miliki itatoka kwa...
Shamba zuri lenye rutuba linauzwa zipo heka 200 kila heka Bei ni shilingi laki tano(500000) Kila zao linakubali hapo Umbali wa shamba ni kilometer sita kutoka barabarani
TZS 500,000
9 months agoEverything ElseNewSell138 people viewed
Mashamba mazuri ardhi nzuri yenye rutuba inakubali mazao yote zipo heka 300(300acres) Kila heka ni shilingi laki sita(600000) Yapo bagamoyo kiwangwa Kutoka barabarani Hadi shamba lilipo ni kilometer sita
TZS 600,000
9 months agoEverything ElseNewSell144 people viewed
Mashamba yanauzwa morogoro Mashamba yapo ya kawaida na yapo ya mtoni.Mashamba ni mazuri hardhi nzuri haiitaji mbolea..zipo heka nyingi tunauza heka moja kwa Bei ya 800,000