Ford 6610 Gen II tractor
Check with seller
Ford 6610 Gen II tractor
Dar es Salaam
Tractor Ford6610 4wd imetengenezwa UK, iko kwenye hali nzuri sana tayari kwa kulima na haijatumika Tanzania. Inafaa kwa kulima na kuvutia magogo sababu ina CARRARO axle. Ziko models zingine mfano MF690 4WD, MF275 4WD, 188 2WD, 165 2WD, 168 2WD, 175 2WD, MF285 2WD. Karibuni!
Check with seller