NYUMBA INAPANGISHWA MOSHONO MASALENI.
TZS 1,200,000
NYUMBA INAPANGISHWA MOSHONO MASALENI.
Arusha
1- Ipo katika eneo kubwa na lenye utulivu. 2- lnavyumba 3, jiko, stoo, bafu na choo cha self na pubilc. 3- lna eneo la kuegesha magari zaidi ya manne 4- Ina miti ya matunda mbalimbali na migomba 5- Ina umbali wa kama mita 50 kutoka barabara ya lami. 6- Ina nyumba ya mfanyakazi na choo na bafu la nje. 7- Inapangishwa na mwenyenyumba hivyo hakuna mtu wa kati /...
TZS 1,200,000