SHAMBA LA MITI YA MBAO
Check with seller
SHAMBA LA MITI YA MBAO
Iringa
Shamba la miti ya mbao (mipaini) lenye ukubwa wa ekari mbili na robo lililopo mkoa wa Iringa wilaya ya Kilolo kijiji cha Magome linauzwa. Miti ina umri wa miaka nane (8). WhatsApp: 0759797986
Check with seller