22850m² Commercial & petrol station
TZS 1,700,000,000
22850m² Commercial & petrol station
Dar es Salaam
Kiwanja kipo Mvuti barabarani umbali wa 20km ukitokea Mbagala junction kuelekea Mbande. Ukubwa: 22,850m² Idadi ya VIWANJA 12, vilivyopimwa na vina Hati. Mbele ni main road Kuna hati ya petrol station(plot no. 12) na Commercial (plot no. 11). Span ya almost 100 meters on main road. Plot no. 10-3 ni hati za Residencial Plot No.1&2 Commercial Residencial Ko...
TZS 1,700,000,000