shamba
TZS 50,000,000
shamba
Pwani
eneo linauzwa Kerege Bagamoyo, lina ukuwa wa mita za mraba 5000, linafikika kwa gari, lina maji na umeme. eneo lina banda la kuishi la vyumba viwili na mabanda mawili ya mifugo. Mawasiliano 0747144763
TZS 50,000,000