Eneo la biashara linauzwa wilaya ya Kigamboni, Dar es Salaam
TZS 10,000,000
Eneo la biashara linauzwa wilaya ya Kigamboni, Dar es Salaam
Dar es Salaam
Eneo linatazamana na barabara kuu iendayo Buyuni na barabara ya mtaa iendayo ufukweni (beach) jirani. Eneo linaendelea kuchangamka kwa ujenzi na uwekezaji kama ujenzi wa makazi, viwanda, yadi, kiwanda cha saruji(sementi), mahoteli, fukwe,vituo vya mafuta,viwanda vya matofali,n.k. Eneo lipo km30 kutoka feri, Kigamboni, Kitongoji cha kwa Morisi, njiapanda beac...
TZS 10,000,000