Rashidi Martine

Rashidi Martine Rashidi Martine
Specializes in Health, Beauty & Fitness
Dar es salaam, Ubungo, Dar es Salaam, Tanzania
4 active listings
Personal seller
Last online 3 minutes ago
Registered for Monday
About seller
Tunasaidia watu wenye changamoto za afya kutatua matatizo yao kwa kutumia tiba lishe changamoto kama vile
1.vidonda vya tumbo
2.Acid tumboni (tumbo kujaa gesi)
3.Bawasiri(kuota kinyama sehem za siri
4.UTI sugu kwa wanawake
5.kutokupata ujauzito (mimba kutokatoka)
6.kupungua uzito na kutoa minyama zembe

Latest Products

Rashidi Martine Rashidi Martine Today 13:50
TEDIVINA Kiboko ya bawasiri na constipation
TZS 100,000
TEDIVINA Kiboko ya bawasiri na constipation
Dar es Salaam
Kuna njia kuu tatu pekee ambazo nimezifanya kwa watu wengi sana na zikawasaidia kutatua changamoto ya bawasiri ambayo imekua ikisumbua watu wengi 1.Tibu tatizo la CONSTIPATION,constipation ni kukosa choo kikubwa au kupata choo kigumu,ni chanzo kikubwa sana kinachosababisha bawasiri lwa kiasi kikubwa mgonjwa yoyote mwenye bawasiri mala nyingi wanakua na shida...
Health, Beauty & Fitness Dar Es Salaam
TZS 100,000
Rashidi Martine Rashidi Martine Wednesday 11:02
TEDIVINA kiboko ya acidi na vidonda vya tumbo
TZS 80,000
TEDIVINA kiboko ya acidi na vidonda vya tumbo
Dar es Salaam
Tiba ya ugonjwa wa acidi tumboni Ungonjwa huu unasumbua watu wengi na wengi wao hua ningumu kuutanbua na kujua tiba zake nimekuwekea dalili zake pindi uonapo uweze kujua kua tayar unatatizo la acidi tumbon Dalili zake ni pamoja na *Kikohozi endelevu Kikohozi kipo cha aina nyingi unaweza ukakohoa pengine unashida ya asthma,au maambukiziya njia ya hewa na meng...
Health, Beauty & Fitness Dar Es Salaam
TZS 80,000
Rashidi Martine Rashidi Martine Tuesday 14:55
Tedivina kiboko ya bawasiri
TZS 100,000
Tedivina kiboko ya bawasiri
Dar es Salaam
Tiba ya bawasiri (mgoro) Bawasiri au kwa jina jingine watu wanaita mgoro,kuota kinyama sehem za haja kubwa ni moja ya tatizo kubwa ambalo linakumba watu wengi na wengi hushindwa kielezea hisia zao kwa kuogopa na kua na hofu Ugonjwa huu unatokea hasa kwa wale watu wenue changamoto ya mfumo wa mmeng'enyo wa chakula Dalili zake *Miwasho sehem ya haja kubwa *Mau...
Health, Beauty & Fitness Dar Es Salaam
TZS 100,000
Rashidi Martine Rashidi Martine Monday 21:38
TEDIVINA
Check with seller
TEDIVINA
Dar es Salaam
Tatizo la kukosa choo kwa muda mrefu, (constipation) huweza kumpata mtu yeyote. Kuna watu wanaopata choo mara tatu kwa siku, wengine hupata mara chache kwa wiki. Kwa wale wanaofika siku tatu bila kupata choo huchukuliwa ni muda mrefu sana hivyo wako katika hatari. Kuna baadhi ya mambo ambayo huchangia kukosa choo kwa muda mrefu/choo kigumu, na hivi ni baadhi...
New Health, Beauty & Fitness Dar Es Salaam
Check with seller
  • 1
Are you a professional seller? Create an account