✓ 3A Fast Charging (Simu yako inachajiwa kwa haraka sana!) ✓ Imara & hazikatiki - unatumia kwa muda mrefu bila wasiwasi ✓ 4 in 1: USB| Type C| iPhone Lightning ✓ Urefu: 2 Mita - Unafika hata ukiwa mbali na soketi! Matumizi: Simu (Android & iPhone) | Power Bank| Headphones | Speaker | Tablet| Smart Watch ⌚| MP3/MP4 n.k Delivery ni BURE ndani ya Dodoma...