Nmg shops

Nmg shops Nmg shops
Nbeya, Mbeya, Mbeya, Tanzania
2 active listings
Personal seller
Last online 2 weeks ago
Registered for 1 month
About seller
Karibu NMG NELLY SHOP – Duka lako la mtandaoni lenye bidhaa zenye ubora wa hali ya juu kwa bei nafuu!
Tunauza bidhaa mbalimbali ikiwemo tochi, mikoba, feni, vifaa vya nyumbani, na bidhaa nyingi zaidi zinazokidhi mahitaji ya kila mteja.

Zaidi ya kuuza bidhaa, tunatoa mafunzo maalum kwa wafanyabiashara:
✅ Jinsi ya kuagiza bidhaa kutoka China kwa bei nafuu na salama
✅ Mafunzo ya kupata wateja wengi zaidi mtandaoni kupitia Facebook, Instagram, WhatsApp na mitandao mingine ya kijamii

? Tunapatikana mtandaoni kote kwa jina:
? NMG SHOPS
? website WWW.NMGSHOPS.COM
? Wasiliana nasi sasa:
WhatsApp: 0655632464
Facebook & Instagram: @NMGSHOPS

Latest Products

Nmg shops Nmg shops 2 weeks
Torch Head Lamp
TZS 25,000
Torch Head Lamp
Mbeya
: 🔦 TOCHI YA KUVAA KICHWANI – HEADLAMP YA KISASA 🔦 Hii siyo tochi ya kawaida! Inachajiwa kwa USB 💻, inaweza kutumia betri pia 🔋, haipitishi maji 🌧, ina sensor ya kugusa ✋, na mwanga mkali wenye mipangilio tofauti 💡. Bora kwa usiku, safari, camping, shamba, uvuvi na dharura za nyumbani. 👉 Bei ya Promo: Tsh 25,000/= 📦 Delivery mikoani kote, lipa ukipokea.
Wholesale
TZS 25,000
Nmg shops Nmg shops 1 month
Drone Fan Light
TZS 45,000
Drone Fan Light
Mbeya
DRONE FAN LIGHT – Feni ya Kisasa Kabisa! 🎉 Unatafuta feni yenye teknolojia ya kisasa na mwangaza wa kuvutia? Basi hii hapa ndio suluhisho lako! 🌬💡 🔥 Drone Fan Light ✅ Ina mota nne zenye nguvu – upepo baridi uneneeeepa! ✅ Ina mipangilio mitatu ya mwanga – mwanga mdogo, wa kati na mkubwa ✅ Rangi tofauti tofauti – badilisha mood ya chumba chako kwa style! ✅ Rem...
Other Electronics
TZS 45,000
  • 1
Are you a professional seller? Create an account