Homa ya hini (hepatitis) ni uvimbe wa ini hunaousishwa na seli kuvimba kiini katika tishu ya ini.hali hii inaweza kujiponyesha au kuendelea kuwa fibrosisi(kovu)na ugonjwa sugu wa ini.homa ya ini inaweza kujitokeza kwa kiasi au kutokuwa na dalili yoyote lakini mara nyingi huleta homa,kukosa hamu ya kula na kunyong'onyea kwa mwili.homa ya ini ni kali wakati inapodumu chini ya moezi sita na huwa sugu inapozidi miezi sita.ugonjwa huu Mara nyingi unasababishwa na virusi,lakini pia hutokea baada ya ini kupata madhara yatokanayo na sumu mbalimbali hasa pombe,madawa fulani na mimea,maambukizi mengine na magonjwa ya kinga mwili