Chicken Feed Formulas

Other Services 145 views New Sell ID: 7195
TZS 50,000

Published on 2024/07/01

Description

Poultry Feed Specialists ni wataalamu wa mifugo hususani kuku, tunatoa elimu na mafunzo mbalimbali yanayohusu ufugaji wa kuku. Sambamba na hilo tunauza formula za kutengeneza vyakula vya kuku vyenye ubora unaozingatia uchumi. Na cha mwisho tunatoa huduma za kidakitari kwa mifugo yako. Bei ya Formula ipo kwenye punguzo la asilimia 50% kwa sasa. Wahi mapema kabla offer hiyo haijaisha muda wake. Karibuni sana wateja.

Location

Kimara
Ubungo
Dar es Salaam
Tanzania
Get directions →
+255 78684xxxx Send Message
Alphonce Joseph Mtey
Alphonce Joseph Mtey
7 active listings
Last online 4 months ago
Registered for 5+ months
Kimara, 16104, Dar es Salaam, Ubungo, Dar es Salaam, Tanzania
+255 78684xxxx
Seller's profile All seller items (7)

Be careful!

Never pay down a deposit in a bank account until you have met the seller, seen signed a purchase agreement.
No serious private advertisers ask for a down payment before you meet.
Receiving an email with an in-scanned ID does not mean that you have identified the sender. You do this on the spot, when you sign a purchase agreement.
Report listing
+255 78684xxxx Send message
Are you a professional seller? Create an account