SUPER GRO Fertilizer/Mbolea (5L)

TZS 180,000
Bidhaa Nyingine
1 year
Tanzania
Dar es Salaam
Kinondoni
Sayansi Bus Stop
2317 views
SKU: 6724
Published 1 year ago by Adila
TZS 180,000
In Bidhaa Nyingine category
Sayansi Bus Stop, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
2317 item views
SUPER GRO ni 100% mbolea ya organic na isiyokuwa na kemikali.
FAIDA: -Inazuia mimea kuungua na jua(ukame)
-inazuia ukungu
-inaongeza kiwango cha Nitrogen (75%)
-inaongeza wingi wa mazao na uzito
-inasaidia viwatifu kufanya kazi(100%)
-kuongeza kiwango cha upenyaji maji kwenye udongo
MATUMIZI: Changanya super gro na maji katika ratio ya 1:1000, nilimaanisha 1ml ya super gro kwenye 1L ya maji au 100ml ya super gro kwenye 100L ya maji kulingana na ukubwa wa shamba au garden. Lita 5 ya super gro unaweza tumia wa heka 5 kwanzia kipindi cha kupanda mpaka kipindi cha kuvuna. For whatsApp use 0758 784 627 and normal calls use 0617734675 Read more

Description

SUPER GRO ni 100% mbolea ya organic na isiyokuwa na kemikali.
FAIDA: -Inazuia mimea kuungua na jua(ukame)
-inazuia ukungu
-inaongeza kiwango cha Nitrogen (75%)
-inaongeza wingi wa mazao na uzito
-inasaidia viwatifu kufanya kazi(100%)
-kuongeza kiwango cha upenyaji maji kwenye udongo
MATUMIZI: Changanya super gro na maji katika ratio ya 1:1000, nilimaanisha 1ml ya super gro kwenye 1L ya maji au 100ml ya super gro kwenye 100L ya maji kulingana na ukubwa wa shamba au garden. Lita 5 ya super gro unaweza tumia wa heka 5 kwanzia kipindi cha kupanda mpaka kipindi cha kuvuna. For whatsApp use 0758 784 627 and normal calls use 0617734675

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa

Bidhaa Ulizoangalia

NobLe Softwares NobLe Softwares 1 year
SketchUp Pro 2024 ( Windows Installer )
TZS 90,000
SketchUp Pro 2024 ( Windows Installer )
Dar es Salaam
Built to make anything your imagination can create. * Clean Installation * Offline Mode * Activated KARIBUNI
Bidhaa Nyingine
TZS 90,000
Samson Joel Samson Joel 4 months
Jimny. 2006
TZS 11,800,000
Jimny. 2006
Dar es Salaam
*PRICE/BWI 11.8MILION* *Suzuki jimmy Wide* Model 1998 Automatic Capacity 1300cc Full Ac 4WD option Sports Rim Ipo Dar☎️
Used Exchange Allowed Gari 9070 Dsm
TZS 11,800,000
Paul Malale Paul Malale 2 years
Nauza
TZS 30,000
Nauza
Dar es Salaam
mtungi complete 22,000 meza ya gesi 30,000 godoro 90,000
Bidhaa Nyingine
TZS 30,000
Are you a professional seller? Create an account