Nauza shamba la Umwagiliaji shamba hilo lipo Kiwangwa Bagamoyo linaukubwa wa hekari 30 kila eka moja inauzwa 1.5M shamba lipo umbali wa kilometa 14. Kutoka barabara kuu ya lami
Read more
Description
Nauza shamba la Umwagiliaji shamba hilo lipo Kiwangwa Bagamoyo linaukubwa wa hekari 30 kila eka moja inauzwa 1.5M shamba lipo umbali wa kilometa 14. Kutoka barabara kuu ya lami
Little Gem mobility Scooter designed for Elderly, sick and disabled people. Specs. Terrain outdoor pedestrian areas User weight 15 stone max. Range 8 miles max. Speed 0-4 mph variable Dimensions (LxWxH) 37 x 20 x 33 inches (seat cushion width 18 inches) Heaviest part 11 kg (36.5 kg total weight including batteries) Turning radius 32 inches The scooter is bat...
La mtu mmoja ni sh 150,000 La watu wawili ni sh 250,000 La watu watatu ni sh 300,000 Ukitaka la wawili na la mmoja ni sh 300,000 Ukitaka la watatu na la mmoja ni sh 360,000 Ukitaka la watatu na wawili ni sh 400,000 Yote seti nzima ni 550,000
Gharama inaanzia 110,000 mpaka 400,000 Unapata Dakika, sms, Unlimited Internet kwa mwezi mzima, na unapata 10 gb kwa watu wako kuanzia 1 - 14 kutokana na kifurushi utakachoweka. Usikose hii fursa.
Nauza shamba la eka 350 shamba hili linapatikana kata ya Msata kijiji cha Mkoko linafaa kwa kilimo ufugaji na makazi linaumbali wa kilometa 11 Gar inafika mpaka shamba bei kwa kila eka moja inauzwa 250,000/= kwa mawasiliano piga no..0659628665/=
Nauza shamba la eka 300 Mbwewe Shamba la eka 300 linauzwa kwakila eka 1 laki 250,000/= shamba linaumbali wa kilometa 3 kutoka barabara kuu ya lami Shamba hili lipo kata ya Mbwewe kijiji cha Kwang'andu wilaya ya bagamoyo Kwa mawasiliano zaidi piga no.. 0659628665/= + 0625929692/=