Ina uwezo wa kutoa tofali nne kwa wakati mmoja na pavings. Inatumia motor 3 za vibration zenye 2.2kw kila moja. Inakuja na toroli 2 za kubebea tofali, tool box na control box. Tunatoa free installation na training. Ina uwezo wa kufanya kazi 24/7 kwa shift. Warrant ni 6 months kwenye motors.
Simu Imenyooka Haina shida yoyote tajiri Ram 8GB Rom 128 888 snapdragon( game zote ina cheza) Finger prints Camera Kali (kama pixel) 0764796132 255000( laki mbili na hamsini na Tano)
Bamboo Flash Disk yenye GB 16 Inakuwa Customized Logo/maneno/Jina unalotaka. Inafaa kutoa zawadi kwa wafanyakazi wako, wanakamati, marafiki n.k Inakuja na Box chake cha kuhifadhia.