Bei ya Bidhaa Nyingine mpya na used kutoka kwa wauzaji mbalimbali Dar es Salaam Tanzania. Find great deals on different products from verified sellers on Zoom Tanzania.
Nyumba stand alone inapangishwa Mbweni karibu na Nyaishozi college. Ina vyumba viwili master bedroom (self-contained). Ina sebule, jiko kubwa na stoo. Ina public toilet moja. Maji na luku inajitegemea. Kodi ni laki 400,000 kwa mwezi (negotiable). Malipo ya miezi 6. Nyumba ni mpya kabisa. Car parking space ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0758906593.