Hizo zote ni dawa za asili ambazo zinamsaidia mwanamke mwenye changamoto ya uzazi, mimba kuharibika, PID pamoja na kuyeyusha uvimbe
Refined yuhnzi imetengenezwa na viambata vyenye virutubisho vinavyotoka katika uyoga wa yuhnzi unaojulikana pia kama Turkey Tail( Coriolus versicolor) kirutubishi hiki ni muhimu kinasaidia sana kwneye mfumo wa uzazi wa mwanamke
Femicare imetengenezwa viambata vingi ila moja wapo ni Tea tree Oil mmea huu unasifa za antibacterial na antifungal, husaidia kuzuia na kupambana na maambukizi ya fangasi na bakteria