Hii Set ina
Notebook (Size A5), Pen & Keyholder.
Inaandikwa chochote unachotaka iwe ni Jina/Logo au maneno.
Ni nzuri kwa matumizi Binafsi, Cooperates au hata kumzawadia umpendae.
#giftsetnzuri #bamboogiftset #simplecooperategifts #gifteryshoptz #customizedgiftstanzania #zawadisimpletanzania