Hii FRIDGE HAINA MAKANDO KANDO NI NZURI KUBWA INA NAFASI YA KUTOSHA UNAWEZA WEKA ZAIDI YA CRATE 5 ZA SODA SHELVE ZAKE ZINA NAFASI YA KUTOSHA KARIBU SANA CALL OR CHART
0715808480
Read more
Description
Hii FRIDGE HAINA MAKANDO KANDO NI NZURI KUBWA INA NAFASI YA KUTOSHA UNAWEZA WEKA ZAIDI YA CRATE 5 ZA SODA SHELVE ZAKE ZINA NAFASI YA KUTOSHA KARIBU SANA CALL OR CHART
0715808480
Shamba linauzwa lipo mbwewe pwani lina ukubwa wa heka 50 lipo umbali wa kilometa 4kutoka barabara kuu ya lami eneo ni zuri sana bei ni laki nne tu kwa heka moja pia unaweza kupiga simu namba 0659628662 kwa maelezo zaidi.
Tunauza miche ya mananasi na ndizi kwa bei poa kabisa tunapatikana kiwangwa bagamoyo pwani mawasiliano no 0714121506 kalibuni sana kiwangwa yenye neema
Eneo la beach Plort linauzwa lenye ukubwa wa heka 10 lipo umbali wa kilometa 1 bei ni million 40 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665
Eneo la beach Plort linauzwa lipo mkwaja wilaya ya pangani tanga lina ukubwa wa heka 16 eneo lina hati miliki bei ni milioni 35 kwa heka moja eneo ni zuri sana kwa maelezo zaidi piga simu 0659628665
Shamba linauzwa lipo mbwewe lina ukubwa wa heka 100 bei ni laki nne umbali kutoka barabara kuu ni kilometa 4 kwa maelezo zaidi piga simu namba 0659628665
Nyumba inauzwa 300M. (Sqm600) . Mbagala kizuiyani barabarani pembeni ya Mahakama ya kuu mbagala na soko la kizuiyani. Nyumba ina Hati miliki, ina fremu 5 za biashara na Vyumba 5 vya kulala, Eneo ni kubwa, unaweza kujenga gorofa, ukumbi, apartment au fremu za kisasa mana eneo ni la biashara. Nyumba Haina Kipengele Chochote. Mawasiliano O654542366 Mmiliki, kar...