EZVIZ CB2 4G

TZS 250,000
Bidhaa za Nyumbani za Umeme
4 months
New
Tanzania
Dar es Salaam
Kinondoni
Ilala Boma
303 views
SKU: 13052
Published 4 months ago by Prime Tech Solutions
TZS 250,000
New
Ilala Boma, Kinondoni, Dar es Salaam, Tanzania
Get directions →
303 item views
???? CAMERA YA 4G BILA WIFI – LIPIA KWA BEI NZURI SASA????

EZVIZ CB2 4G Kamera bora ya kukupa amani mahali popote, bila kuhitaji WiFi!

Kwa Nini Unahitaji Hii Kamera?
✔ Inatumia LINE YA SIMU! – Haitalazimika WiFi– Weka mahali popote!
✔ 2K Resolution + Usiku rangi halisia – Ona kila kitu kwa ufasaha, hata gizani!
✔ Taarifa za Watu/Magari Pekee – **Utatumiwa taarifa kila mtu au gari likipita katika eneo lako.
✔ Mazungumzo ya Moja kwa Moja – Sema na mgeni au mwizi kwa simu yako!
✔ Imara Mvua na Jua Imetengenezwa kuhimiri hali yoyote ya hewa kwa nje!
✔ Betri ya Muda Mrefu - Haitaki umeme kila siku!

Inafaa Kwa
✅ Maeneo ya biashara flemu na maeneo yasiyo na wifi
✅ Maeneo ya Ujenzi na Dukani
✅ Nyumba za Wageni na Mabanda
✅ Kulinda Mali Yako Bila Stress!

???? USISUBIRI TATIZO LITOKEE!
Kamera hii inakupa
✅ Macho 24/7 Angalia mazingira yako wakati wowote
✅ Mikakati ya kuzuia wiziTambua watu wasiojulikana mapema
✅ Uhuru wa kuweka mahali popote Bila wiring au WiFi!

???? Inapatikana kwa Tshs 250,000 ikiwa na Memory card 32GB

???? WASILIANA NASI
☎ Simu: 0765576003
???? WhatsApp: 0715909419

✊ Usiache mazingira yako yawe rahisi kwa wahalifu!
???? Chukua hatua ya kwanza kwa kujilinda leo!

????️ Tunatoa msaada wa ufundi na maelezo ya ziada! Read more

Description

????️ Tunatoa msaada wa ufundi na maelezo ya ziada!

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa

Bidhaa Ulizoangalia

Steven Pius Steven Pius 2 years
Samsung GalaxyA21s, Storage:64GB, RAM: 6GB
TZS 280,000
Samsung GalaxyA21s, Storage:64GB, RAM: 6GB
Dar es Salaam
samsung galaxy A21s yenye clean condition 64GB na RAM 6GB bei ni sawa bure kabis kwa maelezo zaid piga cm no iliopo apo juu. Karibu nikuhudumie 0692972765
Electroniki
TZS 280,000
Are you a professional seller? Create an account