Focusrite scarlett 2i2, 3rd generation. Brand new kwenye package yake kutoka focusrite wenyewe. Inakuja na software bundle na discount coupon kutoka kampuni mbali mbali za vifaa vya muziki. Niliagiza kutoka UK wakanitumia unit mbili. Bahati inaweza kuwa yako chukua hii nakupa bei kama zawadi.
Pata Hp chromebook kwa bei nafuu kabisa Ram 4GB Ssd 16GB Intel processor Free 64GB Flash Inakaa na chaji 12 hours Pata yako sas kwa bei nzur na nafuu kabisa