DRONE FAN LIGHT – Feni ya Kisasa Kabisa! 🎉
Unatafuta feni yenye teknolojia ya kisasa na mwangaza wa kuvutia?
Basi hii hapa ndio suluhisho lako! 🌬💡
🔥 Drone Fan Light
✅ Ina mota nne zenye nguvu – upepo baridi uneneeeepa!
✅ Ina mipangilio mitatu ya mwanga – mwanga mdogo, wa kati na mkubwa
✅ Rangi tofauti tofauti – badilisha mood ya chumba chako kwa style!
✅ Remote control – kila kitu unadhibiti ukiwa mbali
✅ Automatic system – ikitokea shoti inajizima yenyewe na kujiwasha tena
✅ Inafaa kwa vyumba, maduka, saluni, ofisi au hata sebuleni
✅ Haitoi kelele – kimya lakini kazi inaonekana!
💰 Bei ni elfu 45 tu! (TZS 45,000)
🚚 Tunatuma mikoani kote Tanzania
📞 Usikose! Feni hii ni ya kisasa, ya bei nafuu, na inapendeza kwenye kila nyumba!
👉 Fanya oda leo – feni yenye mwangaza na hewa murua!
Read more