Tochi Inayochaji Simu

TZS 35,000
Bidhaa Nyingine za Umeme
1 month
Tanzania
Mbeya
Mbeya
146 views
SKU: 14714
Published 1 month ago by Nmg shops
TZS 35,000
Mbeya, Mbeya, Tanzania
Get directions →
146 item views
TOCHI INAYOCHAJI SIMU! 🔋

Hii si tochi ya kawaida — ni Powerbank Flashlight! 🔦
Inatoa mwanga mkali, haipitishi maji 🌧️, inachaji kwa USB ⚡ na hata kwa betri za kawaida 🔋.
Unaweza kuitumia kama mwanga wa dharura, safari, kambi au kazi za usiku 🌙.

✅ Inachaji simu zako 📱
✅ Inazoom na ina modes tofauti za mwanga
✅ Imetengenezwa kwa chuma imara 💪
✅ Inafaa kwa kila mtu — dereva, mlinzi, mkulima, au msafiri 🚶‍♂️

Unataka kujua jinsi ya kuitumia vizuri na kutambua kama ni original?
👉 Tembelea sasa: www.nmgshops.com Read more

Description

TOCHI INAYOCHAJI SIMU! 🔋

Hii si tochi ya kawaida — ni Powerbank Flashlight! 🔦
Inatoa mwanga mkali, haipitishi maji 🌧️, inachaji kwa USB ⚡ na hata kwa betri za kawaida 🔋.
Unaweza kuitumia kama mwanga wa dharura, safari, kambi au kazi za usiku 🌙.

✅ Inachaji simu zako 📱
✅ Inazoom na ina modes tofauti za mwanga
✅ Imetengenezwa kwa chuma imara 💪
✅ Inafaa kwa kila mtu — dereva, mlinzi, mkulima, au msafiri 🚶‍♂️

Unataka kujua jinsi ya kuitumia vizuri na kutambua kama ni original?
👉 Tembelea sasa: www.nmgshops.com

Vidokezo Salama

  • Usifanye malipo yoyote mtandaoni au kutoa taarifa zako binafsi kakikisha unaiona bidhaa kabla ya kununua.
  • Kuwa mwangalifu na wauzaji wanao hitaji malipo ya awali kabla ya kukutana na kukagua kifaa.
  • Jaribu bidhaa hakikisha inafanya kazi kikamilifu kabla ya kununua, fahamu zaidi kupitia ukurasa huu.
  • Hakikisha unakutana na muuzaji katika eneo salama na la wazi pale unapotaka kununua bidhaa.
Print
Toa Taarifa
Are you a professional seller? Create an account