Focusrite scarlett 2i2, 3rd generation. Brand new kwenye package yake kutoka focusrite wenyewe. Inakuja na software bundle na discount coupon kutoka kampuni mbali mbali za vifaa vya muziki. Niliagiza kutoka UK wakanitumia unit mbili. Bahati inaweza kuwa yako chukua hii nakupa bei kama zawadi.
Jipatie router ya airtel 5G yenye unlimited Internet mwez mzima ikiwa na package +powerbank yenye kukaa na chaj zaid ya masaa7 +inakamata umbali wa mita100 +unaweza connect watu mpaka 64 +ni movable unaweza tembea nayo +Tsh110,000tu Unlimited siku30 30mbps WhatsApp 0698377559